Skip to content Skip to sidebar Skip to footer

[Download] "Changamoto ya Biblia" by Marek Zabriskie * eBook PDF Kindle ePub Free

Changamoto ya Biblia

📘 Read Now     📥 Download


eBook details

  • Title: Changamoto ya Biblia
  • Author : Marek Zabriskie
  • Release Date : January 03, 2020
  • Genre: Bible Studies,Books,Religion & Spirituality,Christianity,
  • Pages : * pages
  • Size : 1575 KB

Description

Anza safari ya Baraka kwa njia ya Biblia, safari ndefu yenye kusisimua ukiwa na Changamoto ya Biblia. Kila siku utakuwa na tafakari ya Neno la Mungu iliyoandikwa na kiongozi wa Kanisa au mtaalamu wa Biblia. Baba Maakofu wakuu, Baba maaskofu, mashemasi, makasisi, na wataalamu zaidi ya elfu moja wamechangia uandishi wa insha mbalimbali za kitaalum.  Kasisi Marek P. Zabriskie, mwanzilishi wa Changamoto ya Biblia na mhariri wa makala au kitabu hiki, anaamini ya kwamba maisha yetu ya imani yatakuwa ya amani , furaha na ustawi

kwa kukutana mara kwa mara na Neno la Mungu. Kama ulikuwa ukidhani ya kwamba hauwezi kamwe kuisoma Biblia yote, Changamoto ya Biblia ni njia ya ajabu ya kupitia katika hija takatifu

inayopitiwa na watu wengine ulimwenguni! Kwa maelezo zaidi, unaalikwa kutembelea

tovuti ya Kituo cha Masomo ya Biblia.


Free PDF Books "Changamoto ya Biblia" Online ePub Kindle